ORODHA YA VITABU MUHIMU SANA VYA KUSOMA.
"Kujifunza kwa kusoma vitabu kutakufanya ubakie kuwa kijana hata katika umri wa miaka mia, lakini kuacha kujifunza kwa kusoma vitabu kutakufanya uzeeke hata katika umri wa miaka kumi na tano." -->Daniel Masubo.
"Mwili wake ulikutwa umelala kitandani na kitabu pembeni yake kikiwa kimefunuliwa ikiashiria mpaka anakata roho alikuwa anasoma kitabu. Huyu ni Papa Yahane Paulo, papa wa kwanza kuliongoza Kanisa Katoliki kwa muda wa siku 33 tu tangu achaguliwe na kufariki ghafla. Alifariki tarehe 28 Septemba 1978. Wakati amechaguliwa kuwa papa alisema, “Kama mtu fulani angeniambia kuwa siku moja nitakuwa papa, ningesoma kwa bidii.” Aligundua usomaji wa vitabu hupanua upeo wa mtu na kujiongeza ubunifu, huchochea fikra mpya, huongeza maarifa na ufanisi katika kila jambo alifanyalo mtu.
Hata mazungumzo yenye mvuto na mpangilio wa kimantiki utayapata kutoka kwa wale wanaosoma vitabu tu kwa upana wake. Kwa bahati mbaya ukizungumzia suala la kujisomea vitabu kwa wasomi tulio wengi ni sawa adhabu ya kubeba gunia la misumali. Hata shuleni tulisoma ili kupambana na mitihani na kuchoma vitabu vyote baada ya kuhitimu. Hapo ndiyo utajua kunakwenda shule na kuhudhuria shule.
Msemo wa kwamba ukitaka kumnyima maarifa Mtanzania yaweke kwenye vitabu unaniudhi kweli. Tunahitaji kusoma vitabu kwa bidii kupunguza tabia ya kuwa wasema ovyo. Usomaji vitabu humfanya mtu akijenga hoja akonge nyoyo za wasikilizaji. Nakwambia kama husomi vitabu na kuwa na taarifa sahihi huwezi kuwa na mvuto mbele za watu hata kama umemaliza madarasa yote duniani. Ukianza kuongea tu, watu wanashika simu zao na kuanza kuchati. Bila kusoma vitabu huwezi kujenga hoja zaidi ya kupiga kelele. Ndiyo maana Mwl Nyerere mpaka anaaga dunia alishikilia msimamo wake wa “Argue and don’t shout.”
Jim Rohn aliwahi kusema, “Ni bora ukose chakula kuliko kukosa vitabu,” na akaongeza, “Kama utashindwa kupata muda wa kukua basi utabaki yuleyule.”Akimaanisha kwamba hata kama umesoma mpaka chuo kikuu usipoendelea kujisomea utabaki yuleyule na “A” zako! Badala yake jamii itakuita msomi hewa. Yaani unakuwa msomi liability kwa familia na taifa lako kwa ujumla. Hadhi ya msomi ni kufanya jambo katika jamii anayoishi kiasi kwamba hata akifa jina lake liendelee kuishi.
Tusiwe wasomi ambao jamii inatuombea tufe badala ya kuishi. Wasomi tunatakiwa tufahamu kwamba, kama kisu kinavyohitaji jiwe la kukinoa vivyohivyo ubongo unahitaji vitabu ili uweze kufanya kazi yake ya kufikiri na kuvumbua alisema George R.R. Martin. Kutosoma vitabu kutaufanya ubongo wako uwe butu na kuenenda kama hamnazo na wakati una akili kama mchwa. Ernest Hemingway anakwambia "hakuna rafiki mwema kama kitabu. Unaposoma vitabu unakuwa na mazungumzo na watu wenye hekima, watu mashuhuri wa zamani, watetezi wa haki za binadamu, waandishi mashuhuri, walimu bora, madaktari bingwa, wajasiriamali na wajasiria pesa, wafanyabiashara mashuhuri, wanasiasa wazalendo wa zamani, na wapigania uhuru, unakuwa mwezi wao ingawa waliisha iaga dunia."
Watu mashuhuri Duniani burudani yao kubwa ni vitabu na siyo TVs. Barack Obama ni miongoni mwa marais wasomaji sana wa vitabu sambamba na Bill Clinton aliyeweza kusoma vitabu 30,000 kabla ya kufikisha umri wa miaka 30. Kadhalika George Bush alisoma vitabu 95 mwaka 2006 pekee, vitabu 51 mwaka 2007 na vitabu 40 wakati anamalizia urais wake mwaka 2008. Hata Hitler alikuwa msomaji mzuri sana wa vitabu ndiyo maana aliandika kitabu kikubwa sana kiitwacho Mein Kampf yaani My Struggle.
Ndiyo maana Jim Rohn anasema, “Successful people have libraries. The rest have big screen TVs,” akiwa na maana kwamba watu waliofanikiwa wanamiliki maktaba za vitabu, na wengine wanamiliki runinga. Sasa sijui msomi mwenzangu unamiliki nini hapo nyumbani kwako. Au unamiliki muziki unaokutekenyaga ukinyonga? Nilikuwa nachomekea tu! Maana kuna jamaa aliwahi kusema maskini wa akili anapenda sana burudani zaidi ya elimu." Aliandika Denis Mpagaze kwenye kitabu chake cha Ukombozi wa fikra (ukurasa 171 -174).
Mwisho wa sura ya 41 ya kitabu chake cha Ukombozi wa Fikra, mwandishi Denis Mpagaze anatoa wito kwa watanzania wote na waafrika akisema "Ndugu zangu wasomi, haijalishi tuko bize kiasi gani, lazima tutafute muda wa kusoma vitabu vinginevyo tutaangamia kwa ujinga. Jenga utamaduni wa kusoma saa moja tu kila unapoamka asubuhi. Tusomeni mpaka mauti kama Papa Yohane Paulo wa Kwanza alivyofanya."
Leo hii kuna mamilioni ya vitabu ulimwenguni kote. Takwimu zinaonesha kwamba kila mwaka vitabu vipya vinaandikwa zaidi ya laki tatu. Kutokana na wingi wa vitabu duniani, huenda ikawa changamoto kubwa kwa mtu anayehitaji kuanza kusoma vitabu. Kwanini? Ni kwa sababu siyo vitabu vyote vinafaa, kumbe si rahisi mtu kutambua na kutofautisha vitabu vizuri na vibaya katikati ya idadi kubwa ya vitabu vilivyopo duniani leo hii. Wahenga walisema "ukitaka kujua unakokwenda, muulize anayetoka huko." Leo hii nimekuletea habari njema, yenye kuleta matumaini kwako unayetamani kunoa ubongo wako kwa kujisomea vitabu ili kujiendeleza binafsi na kubadilisha fikra zako na hatimaye maisha yako na jamii nzima.
Maktaba Kiganjani tumekuandalia vitabu bora ulimwenguni kote, kutoka kwa waandishi nguri na mahiri kabisa. Hakika ukisoma vitabu hivi, ni lazima utashuhudia kwa watu wengine ili nao wapate kuvisoma na kujipatia maarifa kedekede. KUBWA KULIKO YOTE, Tunavigawa BURE kabisa kwa watanzania wote wenye kiu ya kusoma vitabu, ila wanashindwa kwa sababu ya bei za kununua vitabu hivi kuwa juu sana. Kampeni hii tumeianzisha ili kuwawezesha na kusaidia watanzania wapende kusoma vitabu ili kukomboa fikra zao. Kila mtu akikombolewa kifkra, kila mtu kwa nafsi yake mwisho wa siku watu wote watakombolewa na tutakuwa na taifa lenye watu huru kimwili na kifikra. Tumechoka kuishi na "Wasomi huru walioko gerezani" bila ya wao kujitambua. Tumechoka umasikini. Tumechoka imani potofu na ushirikina. Sasa ni wakati wa kuutafuta ukombozi wa fikra, na hatua ya kwanza ni kuanza kusoma siri zote zilizofichwa kwenye vitabu. Uhuru una gharama, lakini watanzania tunaweza kuwa huru. Mgao huu ni OFA ya WIKI MOJA TU. Angalia sasa katika orodha ya vitabu tulivyonavyo kwenye maktaba yetu, kisha fuata maelekezo ili kujipatia nakala zako kabla OFA haijaisha muda wake. HATUUZI kitabu chochote, ila tu unaweza kuhitajika kuchangia gharama za uendeshaji wa huduma hii mpaka kitabu kinakufikia kwa kiasi kidogo sana (Haizidi Tsh. 3,000/=) hata kama utakuwa unahitaji kitabu cha bei ya Tsh. 80, 000/=. Wasiliana nasi kupitia WhatsApp +255757 583 710. USIPIGE SIMU AU KUTUMA UJUMBE (MESEJI) YA KAWAIDA HUTAJIBIWA. TUMIA WHATSAPP KUTUMA UJUMBE WAKO. Au Fuata link hii itakufikisha Inbox yetu moja kwa moja, huhitaji kuhifadhi (kusave) namba kwenye simu.
ORODHA YA VITABU VYA KUSOMA.
🎯Dr. Myles Munroe.
- Single, Married, Seperated & Life After Divorce.
- Rediscovering the Kingdom.
- Kingdom Principles.
- Applying the Kingdom.
- Rediscovering the Kingdom Worship.
- Reclaiming God's Original Purpose for your Life.
- Glory of Living.
- Understanding Your Potentials.
- Releasing Your Potentials.
- Maximizing Your Potentials.
- Understanding the Purpose and Power of Men.
- Understanding the Purpose and Power of Women.
- The Purpose and Power of Love and Marriage.
- The Purpose and Power of Authority.
- In Pursuit of Purpose.
- The Most Important Person on Earth.
- 365 Daily Devotional.
- Fatherhood Principles.
- Kingdom Parenting.
- Principles and Power of Vision.
- Wealth Without Theft.
- Kingdom Principles for Financial Increase.
- Becoming a Leader.
- In-Charge.
- The Power od Character in Leadership.
- The Spirit of Leadership.
- Keys for Living Single.
- Keys for Marriage.
- Kingdom Citizenships.
- Waiting and Dating without Mating.
- Principles and Benefits of Change.
- Overcoming Crisis.
- Keys for Leadership.
- Keys for Prayer.
- Burden of Freedom.
- Passing It On.
- Unleash Your Purpose.
- Understanding Your Place in God's Kingdom.
🎯Robert T. Kiyosaki.
- Rich Dad Poor Dad.
- Cashflow Quadrants.
- Guide to Investing.
- Rich Kid, Smart Kid.
- Retire Young, Retire Rich.
- Midas Touch.
- Why We Want You To Be Rich.
- Why A students works for C students and B students for the Government.
- Guide to Becoming Rich.
- Education on Tax Secrets.
- Goals and Resolutions.
- How to buy your First Investment.
- Managing Your Money.
- Real book for Real Estates.
- Unfair Advantage.
- You Can Choose to be Rich.
- Rich Dad's Prophesy.
- Fire Yoursef.
- Freedom from Bad Debts.
- Change Your Life before Breakfast.
- Increasing Your Financial IQ.
- Fake Money.
- Rich Dad's Success Stories.
- Rich Dad's Success Advisors.
- Conspiracy of the Rich.
- Second Chance.
- The Business of the 21th Century.
- Before You Quit Your Job.
- Goals.
- Million dollar Habits.
- Channge Your Thinking, Change Your Life.
- Create Your Own Future.
- Crunch Point.
- Eat That Frog.
- Focal Point.
- Getting Rich Your Own Way.
- Maximum Achievements.
- Re-Invetion.
- Something for Nothing.
- Speak to Win.
- The 21 Secrets of Self-made Millionaires.
- The 100 Absolutely unbreakable laws of Business Success.
- The physchology of Achievements.
- The Ultimate Goals Program.
- Time Power.
- Victory.
- Turbo Coach.
- Many Miles to Go.
- Unlimited Sales Success.
- The Power of a Charm.
- Psychology of Selling.
- Kiss That Frog.
- Negotians.
- Marketing.
- Creativity and Problem Solving.
- The 6-Figure Speaker.
- The Power of Self-Discpline.
- Believe It to Achieve It.
- Master your Time, Master your Life.
- Just Shut Up and Do It.
- Get Smart.
- The Art of Closing the Sale.
- The Power of Self-Confidence.
- The 12 Discplines of Leadership Excellence.
- Leadership.
- Business Strategy.
- The psychology of Selling.
- Get Paid More and Promoted Faster.
- Full Engagent.
🎯John C. Maxwell.
- Be All You Can Be.
- Intentional Living.
- Talent is Never Enough.
- Becoming a Person of Influence.
- Great Leaders Ask Graet Questions.
- Failing Foward.
- How Successful People Think.
- The Right to Lead.
- How to Influence People.
- The 21 Irrefutable Laws of Leadership.
- The 360° Degree Leader.
- The Secret.
- The 5 Levels of Leadership.
- Thinking for a Change.
- Today Matters.
- The 17 Essential Qualities of a Team Player.
- There is No Such Thing As Business Ethics.
- The 17 Indisputable Laws of TeamWork.
- Be a Peoples Person.
- Developing the Leader Within You.
- Eeveloping the Leader Around You.
- The 3 Things Successful People Do.
- No Limits.
- The 15 Invaluable Laws of Growth.
- The 25 Ways to Win With People.
- Everyone Communicate but Few Connect.
- Sometimes You Win, Sometimes You Lose, LEARN.
- Atitude 101.
- Success 101.
- Complete 101.
- Self-Improvement 101.
- Ethics 101.
- Leadership Bible.
- Becoming a Person of Influence.
- The Power of Your Potentials.
🎯Joyce Meyer.
- Battle fields of Mind.
- Me and My Big Mouth.
- The most Important Decision You Will Ever Make.
- Managing Your Emotions.
- Teenagers Are People Too.
- Making Your Marriage Work.
- Making Good Habits, Breaking Bad Habits.
- Living Beyond Your Feelings.
- In-Pursuit of Peace.
- How to Hear from God.
- Never Give Up.
- Approval Addiction.
- Peace.
- Woman to Woman.
- How to Hear from God.
- 100 Ways to Simplify Life.
- Reduce Me to Love.
- The Batlle belongs to the Lord.
- Look Good, Feel Great.
- 21 Ways to finding Peace and Happiness.
- Battle fields of Mind for Teens.
- Battle fields of Mind for Kids.
- Being the Person God Made You to Be.
- Do It Afraid.
- Don't Dread.
- Eat and Stay Thin.
- Expect the Move of God in Your Life Suddenly.
- Healing the Brokenhearted.
- Home Run.
- I dare You.
- New day, New You.
- Overload.
- Seven Things That Steal Your Joy.
- Straight talk on Stress, Fear, Loneliness, Depression, Discouragements, Insecurity, and Worry.
- Start Your New Life Today.
- Tell Them, I Love Them.
- The Power of Determinations.
- The Power of Forgiveness.
- The Power of Simple Prayer.
- The Secret Power of Speaking God's Word.
- The Secret to true Happiness.
- Weary Warriors, Fainting Saints.
- When God When?
🎯Robin Sharma.
- The Monk who Sold his Ferari.
- The Greatness Guide.
- Leadership Wisdom.
- Who Will Cry When You Die.
- MegaLiving.
- Family Wisdom.
- The Greatness Guide 2.
- Daily Inspiration.
- Discover Your Destiny.
- The Secret letters.
🎯Napoleon Hill.
- Think and Grow Rich.
- Law of Success.
- Success through A Postive Mental Attitude.
- Success Habits.
- Your Right To Be Rich.
- Selling You.
- Ultimate Success.
- Outwitting The Devil.
- Hill on The Air.
- Conceive It, Beleive It, Achieve It.
- 365 Days of Inspiration.
- Truthful Living.
🎯John Gray.
- Men Are from Mars. Women Are from Venus.
- Childrens Are from Heaven.
- Mars and Venus in Love.
- Mars and Venus in the Bedroom.
- Mars and Venus on the Date.
- Mars and Venus Starting Over.
- Practical Miracles for Mars and Venus.
- Why Mars and Venus Collide.
🎯Vinginevyo.
- The Richest Man in Babylon ->Goerge S. Clasons.
- Think and Grow Rich ->Napolean Hill.
- The Four Hour Work Week ->Timothy Feriss.
- How to Win Friends and Influence People ->Dale Carnegie.
- Leaders Eat Last ->Simon Sinek.
- Start With Why ->Simon Sinek.
- You Can Negotiate Anything ->Herb Cohen.
- The Science of Getting Rich ->Wallace D. Wattles.
- Zero To One ->Peter Theil.
- Purple Cow ->Sethi Godins.
- The Art of War ->Sun Tzu.
- The Power of Positive Thinking ->Norman Vicent Pearl.
- Lean Start Up ->Eric Ries.
- The 7 Habits of Highly Effaective People ->Stephen Coveys.
- Man's Search for Meaning ->Victor Frankrl.
- Predictably Irrational ->Dan Ariely.
- The Power of Your Subconsious Mind ->Joseph Murphy.
- The Power of Habits ->Charse Duhigg.
- Good to Great ->Jim Collins.
- Thinking Fast and Slow ->Daniel Kahneman.
- The Magic of Thinking Big ->David J. Schwartz.
- The 80/20 Principle ->Richard Koch.
- Feel the Fear and Do it Anyway ->Susam Jeffers.
- I Will Teach You How To Be Rich ->Ramit Sethi.
- How to Stop Worring and Start Living ->Dale Carnegie.
- Secrets of The Millionaire Mind ->T. Harv Eker.
- As a Man Thinketh ->James Allen.
- The Arts Way ->Julia Cameron.
- Tools of Titans -> Tim Ferriss.
- The 5 Second Rule ->Mel Robbins.
- The Four Agreements ->Don Miguel.
- The Prince ->Niccolo Machiavelli.
- You Can Win ->Shiv Khera.
- Things I Wish I'd Known Before We Got Married ->Gary Champman.
- The Five Love Languages ->Gary Champman.
- F.U Money ->Dan Lok.
- Becoming Unstoppable ->Ruben Gonzalez.
- Money Wont make you Rich ->Sunday Adelaja
- The Pathway to Wealth->Olumide Emmanuel.
- Business Strategy ->Jeremy Kourdi.
- Trust Matters ->Sally Bibb & Jeremy Kourdi.
- 100 Great Business Ideas ->Jeremy Kourdi.
- Why Your Life Sucks ->Alan Cohen.
- Influencer ->Dan Lok.
- Outliers ->Malcom Gladwell.
- $100 StartUp ->Chris Guillebeau.
- Secrets of Closing A Sale ->Zig Ziglar.
- Born to Win ->Zig Ziglar.
- Why People Don't Beleive You ->Rob Jolles.
- The Total Maney MakeOver ->Dave Ramsey.
- Better than Good ->Zig Ziglar.
- The Happiness of Pursuit ->Chris Guillebeau.
- A Course in A Miracle ->Alan Cohen.
- Any Minute ->Deboral Bedford & Joyce Meyer.
- 100 Business Tools for Success ->Jeremy Kourdi.
- A Sense of Purpose ->Stephen R. Covey.
- Healing Your Family History ->Rebecca Hintze.
- Hero ->Meg Meeker.
- Relax Into Wealth ->Alan Cohen.
- Financial Peace ->Dave Ramsey.
- The Legacy Journey ->Dave Ramsey.
- Money Answer Book ->Dave Ramsey.
- The One Year Daily Insights ->Zig Ziglar.
- The Power of a Half Hour ->Tommy Barnett.
- The Tipping Point ->Malcom Gladwell.
- Your Money or Your Life ->Eric Toussaint.
- Woman Tho Art Loosed! ->T.D Jakes.
- Wisdom from T.D. Jakes ->T.D Jakes.
- The 4 Seasons of Marriage ->Gary Champman.
- Act of Marriage ->Tim & Beverly LaHaye.
- Purpose Driven Life ->Rick Warren.
- Mindfrick ->T. Harv Eker.
- Think Like a Champion ->Donald Trump.
- Inspiration ->Wayne Dyer.
- Excuses Begone ->Wayne Dyer.
- He Touched Me ->Benny Hin.
- GoodMorning Holy Spirit ->Benny Hin.
- Instinct ->T.D Jakes.
- Every Woman's Marriage ->Shannon & Greg Ethridge.
- Every Woman's Battle ->Shannon Enthridge.
List goes on....e.t.c.
ORODHA NI KUBWA JAMANI, UNAWEZA TUMA JINA LA KITABU NA MWANDISHI WAKE KAMA HUJAFANIKIWA KUKIONA HAPO KWENYE ORODHA HII NASI TUTAKWAMBIA KAMA KINAPATIKANA KWENYE MAKTABA YETU.
🎯Vitabu vya Kiswahili.
- Kuwa na Matumaini ->Joyce Meyer.
- Nisaidie Ninaogopa ->Joyce Meyer.
- Waambie Ninawapenda ->Joyce Meyer.
- Uamuzi Muhimu Zaidi Utawahi Kufanya->Joyce Meyer.
- Lini Mungu, Lini?->Joyce Meyer.
- Kwanini Mungu, Kwanini?->Joyce Meyer.
- Umasikini na Utajiri ->Daniel Masubo.
- Sababu za Umasikini ->Daniel Masubo.
DISCLAIMER!
Mtumiaji utahusika kuwajibika kikamilifu kwa matumizi yoyote yale ya vitabu hivi. Maktaba kiganjani haitahusika katika matumizi yako mabaya ya mali za waandishi wa vitabu hivi. Mungu akubariki.
Karibu sasa ujipatie nakala yako. Wasiliana nasi kwa kutuma ujumbe kupitia WhatsApp Tu. +255757 583 710. Au fuata link..
USIPIGE SIMU!
USITUME UJUMBE WA KAWAIDA!
UKIKIUKA UTARATIBU! HUTAJIBIWA.
SAIDIA KUSAMBAZA, KUSOGEZA, KUSAMBAZA MAKALA HII KWA MARAFIKI WOTE KADRI UTAKAVYOWEZA. "KUSAMBAZA NI KUSAMBAZA UPENDO."
HELP US IN SHARING, FOWARDING, SHARING THIS ARTICLE TO MANY FRIENDS AS YOU CAN. "SHARING IS SPREADING LOVE."
Comments
Post a Comment