Posts

ORODHA YA VITABU MUHIMU SANA VYA KUSOMA.

Image
UNAHITAJI VITABU ILI KUNOA UBONGO WAKO. "Kujifunza kwa kusoma vitabu kutakufanya ubakie kuwa kijana hata katika umri wa miaka mia, lakini kuacha kujifunza kwa kusoma vitabu kutakufanya uzeeke hata katika umri wa miaka kumi na tano." --> Daniel Masubo. Bonyeza Hapa Kupakua/Ku-download Orodha Hii. "Mwili wake ulikutwa umelala kitandani na kitabu pembeni yake kikiwa kimefunuliwa ikiashiria mpaka anakata roho alikuwa anasoma kitabu. Huyu ni Papa Yahane Paulo, papa wa kwanza kuliongoza Kanisa Katoliki kwa muda wa siku 33 tu tangu achaguliwe na kufariki ghafla. Alifariki tarehe 28 Septemba 1978. Wakati amechaguliwa kuwa papa alisema, “ Kama mtu fulani angeniambia kuwa siku moja nitakuwa papa, ningesoma kwa bidii. ” Aligundua usomaji wa vitabu hupanua upeo wa mtu na kujiongeza ubunifu, huchochea fikra mpya, huongeza maarifa na ufanisi katika kila jambo alifanyalo mtu.  Hata mazungumzo yenye mvuto na mpangilio wa kimantiki utayapata kutoka kwa...